Ningekushauri uweke maelezo yaliyokamilika ili kupata msaada. Taarifa kama ni kazi gani inahitajika kufanyika, ni taasisi gani inahusika na vitu kama hivyo. Kuja PM kupata hizo taarifa ni kitu ambacho watu wazuri wengi wanaweza wasifanye.