Mwenye ujuzi na biashara za kutoa na kuweka pesa katika midandao ya simu

Mwenye ujuzi na biashara za kutoa na kuweka pesa katika midandao ya simu

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
504
Reaction score
209
Kwenye kaduka kangu nataka niongeze na huduma za Airtel money,M pesa,tigo pesa na Halopesa.Tayari nimeshaomba laini hizo toka mwezi wa 8 mwaka huu ila bado sijaletewa laini hata moja.Kila nikifuatilia najibiwa bado kidogo.Kwa mnaojua laini hizi huchukua muda gani hadi kumfikia muhusika(aliyeziomba)?

Pia changamoto na faida za biashara hii ni zipi?Mimi nimeamua kuziweka kwa sababu wateja wangu wamekuwa wakija kwangu na kutaka niwafanyie miamala hiyo wakidhani tayari nina huduma hizo.Kwa anayefahamu mambo haya niliyouliza hapo naomba anijuze,tafadhali!!!!!!
 
Inategemea na wakala mkuu uliyeenda kumuomba na wewe ufuatiliaji wako haziuzwi ni bure, changamoto ni kuchanyiwa elfu mbili kwenye elfu kumi, ukiwa haupo uliyemuweka kutumiwa sms kwa jina lako ukitoa maelekezo kumtumia mtu pesa wakati si kweli, mtaji mdogo changamoto zipo nyingi
 
Back
Top Bottom