Mwenye ujuzi na biashara za Mpesa

Mwenye ujuzi na biashara za Mpesa

Risk ni kutapeliwa na chuma ulete ila inafaida sana kwenye mzunguko mkubwa
 
RISK(HASARA)
1.Kuna baadhi ya wateja sio waaminifu kuwa makini Sana.
2.Wizi
3.Kamisheni ...unaweza usilipwe ikitokea wakagundua unatumia lipa namba (sio KWA wote)
4.Unaweza kutapeliwa na mteja .....inafanana na point ya 1(KWANZA) hapa namaanisha ukitaka kutuma hela mfano mteja anaweza kuwa na hela pungufu anakushinikiza tuma fasta kuwa taratibu hesabu hela ndoo utume.
FAIDA
1.Hela ya kukidhi mahitaji YAKO kama mzunguko ni mkubwa (watu wakiwa weng wanaotumia hio huduma)
2.Kujuana na watu mbalimbali
3.Connection za maisha
Vingine ni vile Mungu amekupangia KILA la kheri pia pitia nyuzi za nyingine zinazohusiana na yako
 
Back
Top Bottom