CIA mgumu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2022 Posts 962 Reaction score 1,934 Oct 8, 2022 #1 Kama kichwa cha habari hapo juu mwenye ujuzi na haya mdini soko lake likoje na mnunuaji pia ni nani na yanauzwa kwa tone au kg? Karibuni wenye ujuzi na kutoa darasa
Kama kichwa cha habari hapo juu mwenye ujuzi na haya mdini soko lake likoje na mnunuaji pia ni nani na yanauzwa kwa tone au kg? Karibuni wenye ujuzi na kutoa darasa
Bexb JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 715 Reaction score 1,619 Oct 8, 2022 #2 Weka report yako ya maabara tujue unashauri vipi mkuu.
CIA mgumu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2022 Posts 962 Reaction score 1,934 Oct 8, 2022 Thread starter #3 Bexb said: Weka report yako ya maabara tujue unashauri vipi mkuu. Click to expand... Soma vizuri bandiko langu kiongozi mimi mwenyewe natafuta kupewa maelezo kwa kina
Bexb said: Weka report yako ya maabara tujue unashauri vipi mkuu. Click to expand... Soma vizuri bandiko langu kiongozi mimi mwenyewe natafuta kupewa maelezo kwa kina
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 9, 2022 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...