Wakuu habari,
Alhamisi niliuliza mwenye ujuzi wa water pump maana pump yangu ya kuvuta maji imekatika kifaa cha kupokea mafuta kutoka kwenye tank kwenda kwenye engine sasa naomba mwenye ujuzi na hizo pump anisaidie jinsi ya kutatua tatizo. Aina ya pump ni BICSTAR.
Kifaa chenyewe kabla hakijavunjika na baada ya kuvunjika.