Mwenye ujuzi wa blockchain na solidity programming tafadhali

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari wakuu.

Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi wa programming in solidity, blockchain na smart contracts anisaidie kuweka function ninayohitaji kwenye smart contract ambayo nilitengenezewa na mtu na sasa simpati tena. Contract imekuwa deployed kwenye testnet ya Ethereum blockchain.
 
Toa maelezo yaliyokamilika dogo usaidiwe maana hapo hujaeleza japo kwa kifupi shida ni ipi kwenye hiyo smart contract yako na kwa nini unataka kuongeza function ambayo developer wako hakuweka
 
Toa maelezo yaliyokamilika dogo usaidiwe maana hapo hujaeleza japo kwa kifupi shida ni ipi kwenye hiyo smart contract yako na kwa nini unataka kuongeza function ambayo developer wako hakuweka
Developer alisahau kuweka hiyo function
 
Vipi hauna project zingine za Blockchain nkusaidie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…