Luhomano
Member
- May 1, 2020
- 57
- 32
Wakuu habari za saizi, nimenunua pump ya kuvuta maji kwaajili ya kilimo chaumwagiliaji sasa katika harakati za ufanyaji kazi wake imekatika chuma kinachopokea mafuta kutoka kwenye tank kwenda kwenye mrija unaopelekamafuta kwenye engine.
Wakuu naomba msaada was jinsi ya kupata hiyo spare au kama kuna namna naweza Fanya kutatua hilo tatizo ili niweze endelea na kilimo maana mazao yananyauka kwa kukosa maji.
Wakuu naomba msaada was jinsi ya kupata hiyo spare au kama kuna namna naweza Fanya kutatua hilo tatizo ili niweze endelea na kilimo maana mazao yananyauka kwa kukosa maji.