Sorry, Napenda kufahamu bei ya hizo mashine za umwagiliaji. Nahitaji kufanya kilimo cha umwagiliajiUko mkoa gani, Kama upo Mbeya nikuunganishe na Deka linalouza hizo spare pamoja na mafundi wapo hapo hapo.
Kama upo Mbeya, Bei zinaanzia shilingi 300,000/- nje ya mipira (pipes) hizi Ni za petrolSorry, Napenda kufahamu bei ya hizo mashine za umwagiliaji. Nahitaji kufanya kilimo cha umwagiliaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko songwe mkuu