Mwenye ujuzi wowote kuhusu st johns university ya dodoma

mwelulila

Senior Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
109
Reaction score
4
jaman naulizia kwa mwenye ujuzi kuhusu hiki chuo mahostel na kila kitu pleaseeeee!!!!!!!!!!!!
 
Jiandae ukafundishwe na watu wenye degree moco, wakijiita ma-head of department na ma-senior lecturs. Pia kupewa marks za chu...pini ili upewe maks za juu, sorry 4dat.
 
Jiandae ukafundishwe na watu wenye degree moco, wakijiita ma-head of department na ma-senior lecturs. Pia kupewa marks za chu...pini ili upewe maks za juu, sorry 4dat.

mmmmmhhh n majanga bac ila vipi kuhusu maisha kwa ujumla mkuu???
 
St john zamani ikiitwa mazengo technical secondary school,kipo maeneo ya kikuyu km chache kutoka dom town.
 
Ninachojua ni CHUO kichanga hivyo kitaaluma zaidi sifahamu,labda anaesoma atakusaidia zaidi
 
jiandae kukaza msuli wangu.supp tatu disco kati ya masomo nane au tisa kwa term moja.mengineyo unaweza ni pm
 
jiandae kukaza msuli wangu.supp tatu disco kati ya masomo nane au tisa kwa term moja.mengineyo unaweza ni pm

thax kazi2000 kukaza msuli n kawaida yangu mkuu!!!! nmechaguliwa pale bussness studies(BBS)
 
ivi hawajatoa selection za degree? Mbona sizioni?

yeh mkuu hawajatoa ila mimi nlicheki kwa airtel thus y nauliza halafu nlweka cha kwanza na cha pili co najua lazma wanitue pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…