Salamu zenu Wadau naomba kujua kwa wale ambao tulifanya Interviews Written na oral kwa post mbalimbali za shirika la TANAPA ambazo zilifanyika centers tofauti Dar mwezi August, jee waliofanikiwa wameshaitwa kazini.??
Katika taasisi za serikali ambazo siombi kazi hata kama wakitangaza ni hawa jamaa wa TANAPA, just because they are hopeless maandazi kama huna wakukushika mkono.
TANAPA walitumia nafasi zile kupatia pa diem, ofisi zipo Arusha interview inafanyikia Dar, why Dar maana walioaply walitokea Tanzania nzima so ilitakiwa kama ni kubalance waipeleke Dodoma basi