Mwenye update za GRIPS nchini japan

buso

Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
54
Reaction score
22
nilifanya maombi ya scholarship nchini japan npo katika hatua nzuri ya kuweza kupata sasa kama kuna mtu amewahi kupata hzi scholarship anipe ABC ZA maisha nchini japan.
 
Aisee....nashukuru kwa kuhusika kwako!tutasaidiana wakija na ABC za maisha ya Japan
 
Kule ni barabara nzuri tu za ghorofa sio flyover za maneno kama huko. Maisha kule yako juu kdgo na kumbuka "majani" huwa hayaondolewi kama huko bongo
 
Msaada wa namna ya kupata scholarship ya masters wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…