Oloisusuki
Member
- Mar 27, 2021
- 23
- 19
Hakuna Tff bila Yanga ila kuna Yanga bila Tff sawa kinana alafu hayupo mtu ata mmoja anayeweza kuifuta Yanga kwenye ramani ya mpiraZinaweza vunjwa halafu tukasahau kitu kinaitwa yanga
Fyuuuuuuu....kwan nan anasimamia mpira hapa Tanzania? Simba ndio alibadili muda wa mchezo?????kweli utopolo mmelogwaWewe umelewa chibuuku sio bure asee aligomea mchezo ni Simba na wala sio yanga kama sheria na kanuni za tff zikifatwa kama inavyotakiwa kuwa ama kufatwa basi mwenye hatia katika hili ni Simba kifupi Simba alimkimbia Yanga kwa maana muda sahihi wa mechi ilikuwa ni saa kumi na moja jioni huo ndo muda halali sasa Yanga waliingiza timu uwanjani ndani ya muda halali wa mechi Simba wakaingia mitini hawakuingiza timu ivyo kama kuadhibiwa Simba ndo anastahili kuadhibiwa
wanakomaa utadhani wangefungaWakitaka ofis za TFF zivunjwe wawaadhibu Yanga
Na Yanga walisema mapemaaa kwamba wao wataingiza timu uwanjani saa 11...Wewe umelewa chibuuku sio bure asee aligomea mchezo ni Simba na wala sio yanga kama sheria na kanuni za TFF zikifatwa kama inavyotakiwa kuwa ama kufatwa basi mwenye hatia katika hili ni Simba kifupi Simba alimkimbia Yanga kwa maana muda sahihi wa mechi ilikuwa ni saa kumi na moja jioni huo ndo muda halali sasa Yanga waliingiza timu uwanjani ndani ya muda halali wa mechi Simba wakaingia mitini hawakuingiza timu ivyo kama kuadhibiwa Simba ndo anastahili kuadhibiwa.
Kwan mwakalebela c mlisema mtamsaidia? KulikonWakitaka ofis za TFF zivunjwe wawaadhibu Yanga