Kuna rafiki yangu amenifata kuomba ushauri kwamba yeye ana gari aina ya toyota RAV4 ya milango 5 mwaka 1998,ambayo imeshatumika hapa tz.
kuna mtu kamfata kwamba wabadilishane na toyota IST ya mwaka 2003 hii ist ni mpya haijatumika hapa tz,mimi nimeshindwa la kumjibu kwa kuwa sio mtaalam wa magari,je huo uwiano uko sawa?