Kuna tochi kama ya kumulikia masikioni wanayotumia madaktari nenda kanunuwe pale sabasaba kwenye maonesho ya nanenane. Maelekezo watakupa namna ya kutumia.jamani mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji ila kila napototolesha vifaranga majogoo wanatotolewa wengi kuliko matetea.
Naomba kujuzwa kama kuna tecknolojia ya kulitambua yai lenye kifaranga cha kike au cha kiume kabla ya kutotolesha.
Najua hapa wataalam wapo wengi hebu nipeni mbinu
Nenda jukwaa la ujasiriamali watakusaidia mkuu
Kuna tochi kama ya kumulikia masikioni wanayotumia madaktari nenda kanunuwe pale sabasaba kwenye maonesho ya nanenane. Maelekezo watakupa namna ya kutumia.
Kuna tochi kama ya kumulikia masikioni wanayotumia madaktari nenda kanunuwe pale sabasaba kwenye maonesho ya nanenane. Maelekezo watakupa namna ya kutumia.
Kisichowezekana kwa mwafrika kwa Mzungu kinawezekana.Nadhani kazi ya ile tochi ni kukuonyesha kwamba Yai lina uzazi ama haliwezi kuwa na kifaranga, lakini sio la kuonyesha kuwa ni jogoo ama tetea
niliwahi kusikia watu wanatambua kwa kuangalia shape ya Yai tu,
Haswaaaaaa. La jogooo huwa kubwa la tembe huwa dogo na la koroa huwa kubwa ila halijachongoka.Yai lililochongoka sana kichwani ni jogoo....ambalo halijachongoka sana ni tetea....ndivyo nilivyokariri.
Haswaaaaaa. La jogooo huwa kubwa la tembe huwa dogo na la koroa huwa kubwa ila halijachongoka.
Kama unatumia kiatamizi joto lake lipo juu kuliko linavyostahili.