Mie nilienda maeneo ya mnazi Mona kufanya utafiti modogo:kuna nguao kutoka Canada,China na Dubai being zina range tofauti tofauti kulingana na grade ya mzigo.
Tafuta muda ufike pale utapata ABC,but jambo muhimu ni kuwa ni risk business kama zilivyo business zingine unaweza ukachukua bello akakuta nguo sio mzuri zikakupeleka hasara.