zeebaba Senior Member Joined Apr 17, 2018 Posts 180 Reaction score 212 Jul 18, 2018 #1 Kama kichwa kinavyojieleza hapo naweza pata mdau yoyote aliyopo Mjini Moshi mwenye uzoefu juu ya Forex kuweza kuyajenga? Kama uko tayari basi ni DM kwa taarifa zaidi!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo naweza pata mdau yoyote aliyopo Mjini Moshi mwenye uzoefu juu ya Forex kuweza kuyajenga? Kama uko tayari basi ni DM kwa taarifa zaidi!
kijana wa leo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2011 Posts 3,150 Reaction score 7,790 Jul 18, 2018 #2 Hiyo ilishakuwa proved humu kuwa ni utapeli, wewe nenda katapeliwe kivyako usije kutafuta wa kumlaumu humu.
Hiyo ilishakuwa proved humu kuwa ni utapeli, wewe nenda katapeliwe kivyako usije kutafuta wa kumlaumu humu.
LICHADI JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 4,727 Reaction score 13,466 Jul 18, 2018 #3 Naona mmerudi tena kwa id mpya[emoji23][emoji23][emoji23]
coscated JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 4,794 Reaction score 5,411 Aug 6, 2018 #4 Watu bado wana hamu ya forex, ngoja nihamie kwa wazee wenzangu wa kuweka mzigo
dikir kab can JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,190 Reaction score 4,314 Aug 6, 2018 #5 mtafute ontario..
zeebaba Senior Member Joined Apr 17, 2018 Posts 180 Reaction score 212 Aug 7, 2018 Thread starter #6 kijana wa leo said: Hiyo ilishakuwa proved humu kuwa ni utapeli, wewe nenda katapeliwe kivyako usije kutafuta wa kumlaumu humu. Click to expand... Me sijasema ni utapeli mada inajieleza vzr hapo juu shida iko wapi? sio lazima kila post ucomment
kijana wa leo said: Hiyo ilishakuwa proved humu kuwa ni utapeli, wewe nenda katapeliwe kivyako usije kutafuta wa kumlaumu humu. Click to expand... Me sijasema ni utapeli mada inajieleza vzr hapo juu shida iko wapi? sio lazima kila post ucomment