KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,370
- 5,381
Salaam wakuu,
Katika pitapita zangu za hapa na pale nimekutana na hii kozi ambayo ni bachelor of science in instructional design and information technology inayofundishwa chuo kikuu cha dodoma(UDOM) pekee.
KIU yangu ni kutaka kujua hii kozi inahusiana na nini na anayesomea kozi hiyo anakuja kuwa mbobevu katika sekta gani.
Ni matumaini yangu kwamba nitapata mwanga katika jambo hili wakuu.
Naomba kuwasilisha.