0Salaam wakuu,
Katika pitapita zangu za hapa na pale nimekutana na hii kozi ambayo ni bachelor of science in instructional design and information technology inayofundishwa chuo kikuu cha dodoma(UDOM) pekee.
KIU yangu ni kutaka kujua hii kozi inahusiana na nini na anayesomea kozi hiyo anakuja kuwa mbobevu katika sekta gani.
Ni matumaini yangu kwamba nitapata mwanga katika jambo hili wakuu.
Naomba kuwasilisha.
Instructional design ni utengezaji wa course, mitaala, trainings, syllabus, notes. Kwa uelewa wangu hiyo course unakuwa mkufunzi ( tutor) na mtaalam wa IT.Salaam wakuu,