vini23
Member
- Sep 25, 2019
- 37
- 30
Ndugu wapendwa mimi ni kijana mwenye uchu wa maendeleo,ninapatikana Dar es salaam nataka nifungue office ya kutengeneza alluminium,Mm si fundi bali nataka kuajiri mafundi na niwalipe kulingana na kazi.Napenda kujua vifaa vinavyohitajika,mtaji wa kuanzia,upatikanaji wake,soko la biashara,uendeshaji mrahisi na pia kwa ujumla changamoto ya hii biashara.Plz naombeni msaada wenu