PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Nipe kwa ufupiKuna uzi kibao humu unaelezea hayo mambo so usiache kutafuta
zidisha mara mbili mkuu. kwaio andaa angalau 7,000,000 hadi 8,000,000Nipe kwa ufupi
Hiyo 3,372,935 utamlipa mjapan kupitia benki zetu hapa nchini.ila ongeza km $40-60 km gharama ya benki.Habari ndugu?,
Nimeipenda hii gari na unafuu wa hii bei ya Tsh 3,372,935/= as a total price.
Nauliza, hivi mpaka kuimiliki ifike kwangu gharama itafika tsh ngapi? Tafadhali naomba ufafanuzi kwa mwenye uelewa na nini rahisi cha kufanya ili niipate hii.
VizuriiHiyo 3,372,935 utamlipa mjapan kupitia benki zetu hapa nchini.ila ongeza km $40-60 km gharama ya benki.
Baada ya wiki 3 hivi utalipa kodi ya TRA, gharama za meli, bandari, utoaji (clearing) na plate number.
Jumla ukiongeza kama milioni 4 ingine itatosha.
Pia kuna malipo ya bima yanategemea aina ya bima uitakayo inaanzia tzs118,000 kwa gari ya kawaida.
Kila laheri.
Kazi kwako!Habari ndugu?,
Nimeipenda hii gari na unafuu wa hii bei ya Tsh 3,372,935/= as a total price.
Nauliza, hivi mpaka kuimiliki ifike kwangu gharama itafika tsh ngapi? Tafadhali naomba ufafanuzi kwa mwenye uelewa na nini rahisi cha kufanya ili niipate hii.
Asisahau kuna maumivu ya TPA pia akimaliza TRA aongeze 1,500,000 - 2,000,000 TPA + Bima + service ya hio gariNenda tra vehicle calculator ucheki maumivu mengine huko