Mwenye Uwezo anapoishi kiunjaaunjaa

Mwenye Uwezo anapoishi kiunjaaunjaa

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
9,327
Reaction score
5,206
Hivi karibuni kuna kijana moja ambaye baba yake ndio kiongozi wa jamhuri ya muungano wa tanzania alidai/alitamkaa kwamba watanzania wanatakiwa kuelewa kwamba kila mtanzania/wengi wa watanzania wanaishi kiunjaa/ujanjaa ili kualalisha kuendesha mafari au kuonekana na mali ya thamani ya juu.
sasa jambo la kujiulizamiongoni mwetu kwamba hili tamko au fikra ndio uwezo wa kijana huyu au ndio uwezo wa watanzania? na ni nini tunacho jifunza ikiwa mtoto wa muongoza nchi anapokuwa anaishi kiunjaa unjaaa ili hali amesoma hapo ubungo na mzazi wakee ndio kiongozi wa nchi.
je ni tamkoo rasmi la nchi kwamba li tuweze kuishi vizuri basi tuishii kiunjaa ujanjaaa au ndio akili ya waliosomea ubungo ilivyo au ndio kauli mbio ya kiongozi wa nchii yetu? naambo tulijadili hili na kuwekena sawa ili iwe ndio mfano wa maisha ya watoto wa viongozi wetu/au wa viongozi wetu wajue wanacho takiwa kufunya kwa ajili ya maendeleo ya nchi.
 
Hilo ni tamko lake siyo la nchi, kwani yeye ni nani katika nchi hii mpaka kauli yake iwe kauli ya nchi? kuishi kiujanjaujanja maana yake nini? Kama huna makosa wala madhambi huwezi kuishi kiujanjaujanja, maisha kama hayo tuliishi JKT ili kutegea kazi hizo,katika mazingira mengine kuishi kiujanjaujanja maana yake kukwepa kodi, kutowajibika sehemu yako ya kazi, kuiba mali ya umma na wenzako nk.
 
Anataka tusijue kama yeye ni billionea!
 
Alikuwa anatoa tafsiri ya ufisadi kuwa ni kuishi kiujanja-ujanja. Unawazidi akili watendaji wa serikali katika mikataba unapata chakula. Mfano, dili la dowans nk.
 
Hilo ni tamko lake siyo la nchi, kwani yeye ni nani katika nchi hii mpaka kauli yake iwe kauli ya nchi? kuishi kiujanjaujanja maana yake nini? Kama huna makosa wala madhambi huwezi kuishi kiujanjaujanja, maisha kama hayo tuliishi JKT ili kutegea kazi hizo,katika mazingira mengine kuishi kiujanjaujanja maana yake kukwepa kodi, kutowajibika sehemu yako ya kazi, kuiba mali ya umma na wenzako nk.
MODS... nadhani hii post inafaa ipelekwe katika JF Chit-Chat...
nasimama kuosolewa..
 
Back
Top Bottom