Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Ebu sema jinsia yako mara nikupe kazi maana factors zingne naona umefeli.
Umesema kazi kwa gharama yyte ila huna capital. sema jinsia ako.
Ukiweza kunipatia ni PM kuhusu factors umejuaje kama nimefeli? mambo ya jinsia yanatoka wapi hapa
Mbona jamaa kaeleweka. Yeye anataka kujua kama unagawa ****/kushikishwa ukuta , si unajua mayanki wa bongo fleva wako tayari kufanya chochote ili wapate kile wanachohitaji.
Mbona jamaa kaeleweka. Yeye anataka kujua kama unagawa ****/kushikishwa ukuta , si unajua mayanki wa bongo fleva wako tayari kufanya chochote ili wapate kile wanachohitaji.
Ok nipe ID yake ni PM
Kwa jibu hili jiandae hata kununua probation! Na hujanunua promotion!
Ina maana hapo hujafanya hata effort ya kuelewa anamuongelea member yupi na utampataje?
Graduates wa siku hizi mnachosha! Aibu hata kumpeleka mtu interview!