Mwenye uzoefu Kuagiza na ali Express

Mwenye uzoefu Kuagiza na ali Express

tonny miles

Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
20
Reaction score
11
Wakuu Salaams..

Kama kichwa cha habari kinavyosema.. Naomba mwenye experience na hawa jamaa wanajiita ali express..

Mizigo inafika? Vitu vinakuja halisi au gozigozi...
 
Wakuu Salaams..

Kama kichwa cha habari kinavyosema.. Naomba mwenye experience na hawa jamaa wanajiita ali express..

Mizigo inafika? Vitu vinakuja halisi au gozigozi...
Vinafika, tena saa zengine mapema kuliko estimated time. Binafsi nimewakubali kuliko hata kikuu ila waweza jaribu pia hata kwa bidhaa ya bei ndogo ili kujiridhisha kwanza.
 
Back
Top Bottom