tonny miles Member Joined Jan 11, 2018 Posts 20 Reaction score 11 Oct 25, 2022 #1 Wakuu Salaams.. Kama kichwa cha habari kinavyosema.. Naomba mwenye experience na hawa jamaa wanajiita ali express.. Mizigo inafika? Vitu vinakuja halisi au gozigozi...
Wakuu Salaams.. Kama kichwa cha habari kinavyosema.. Naomba mwenye experience na hawa jamaa wanajiita ali express.. Mizigo inafika? Vitu vinakuja halisi au gozigozi...
Agiza Express Member Joined Sep 26, 2022 Posts 52 Reaction score 119 Oct 26, 2022 #2 tonny miles said: Wakuu Salaams.. Kama kichwa cha habari kinavyosema.. Naomba mwenye experience na hawa jamaa wanajiita ali express.. Mizigo inafika? Vitu vinakuja halisi au gozigozi... Click to expand... Vinafika, tena saa zengine mapema kuliko estimated time. Binafsi nimewakubali kuliko hata kikuu ila waweza jaribu pia hata kwa bidhaa ya bei ndogo ili kujiridhisha kwanza.
tonny miles said: Wakuu Salaams.. Kama kichwa cha habari kinavyosema.. Naomba mwenye experience na hawa jamaa wanajiita ali express.. Mizigo inafika? Vitu vinakuja halisi au gozigozi... Click to expand... Vinafika, tena saa zengine mapema kuliko estimated time. Binafsi nimewakubali kuliko hata kikuu ila waweza jaribu pia hata kwa bidhaa ya bei ndogo ili kujiridhisha kwanza.
Mafian cartel JF-Expert Member Joined Nov 19, 2021 Posts 3,876 Reaction score 7,118 Oct 26, 2022 #3 tonny miles said: Wakuu Salaams.. Kama kichwa cha habari kinavyosema.. Naomba mwenye experience na hawa jamaa wanajiita ali express.. Mizigo inafika? Vitu vinakuja halisi au gozigozi... Click to expand... Vinafika salama kabisa
tonny miles said: Wakuu Salaams.. Kama kichwa cha habari kinavyosema.. Naomba mwenye experience na hawa jamaa wanajiita ali express.. Mizigo inafika? Vitu vinakuja halisi au gozigozi... Click to expand... Vinafika salama kabisa