ko mkuu unanishauri nisithubutu kuresign nilipo kwenda kwa hawa watuwanalipa il full uchakachuaji haokawaulize customer care vodacom wanalia balaa
wamenia mbia kuhusu kunipeleka kampuni inaitwa TIPER,mm wananiajiri wao kwa mshahara tuliokubaliana,then wao watakua wakilipwa na TIPER.wasi wasi wangu is this sustainable?wanaaminika hawa!wao wananilipa tulichokubaliana ila kiasi wanachochukua wao kutoka tiper sijakijua.
dah kweli town ni mipango
naskia jamaa waovyo sana, tabia yako ni hiyo ya kula pasu kwa pasu. alafu wanalipa kiasi kidogo sana.
Nilifanya usaili na hawa jamaa wanaojiita erolink,baada ya kumaliza taratibu zote wananiambia kwamba wao ero link ndio watakao niajiri,halafu duty station yangu itakua kwenye hiyo kampuni husika ndio wanatafutiwa mtu.
Tafadhali mwenye kujua utaratibu wa hawa watu je unafit?hawazungushi ikifika mda wa kulipa mshahara?nakuusu increament imekaaje?details please.
Wazushi hao watu kuwa makini mi nilienda kufanya usaili pale masaki inaonekana hawako makini na kazi zao ingawa kuna wazungu pale kwenye ofc zao ila wababaishaji tu.