Mwenye uzoefu kuhusu internship TaESA

Mwenye uzoefu kuhusu internship TaESA

Maswali ya TAESA ni haya hapa👇
1:Tell us about yourself
2: Why should we choose you????
3:Are you creative??? If yes tell us something you have created
4: are you ethical????
Mention five ethics za mwajiriwa
Hayo hapo juu ni maswali yao common ambayo lazima wakuulize
Mengine utajiongeza wewe huko huko ila hakikisha tu wajae kwenye mfumo wako(confidence) na sio wewe ujae kwenye mfumo wao
Good luck!!!!!
 
Good luck!!!

naomba in pm mara moja
 
Naomba kuni pm plz I have a Qn apart from that.
 
Msaada jamni wa kufika office za taesa kutokea makumbusho
 
Msaada jamni wa kufika office za taesa kutokea makumbusho
Panda daladala zinazokwenda Posta ila zinazopitia Manzese/Magomeni halafu shuka kituo kinaitwa akiba utaona jengo kama police stations nenda kajisalimishe, ila siku hizi watuhumiwa wanajisajili online.
 
Hello ndugu nimetoka kufanya interview ya TAESA, nimesomea computer engineering na haya hapa ndio maswali nimeulizwa
1.Tell us about yourself
2.what are the roles of computer Engineer
3.Why should we select you
4.Are you creative? How creative are you?
5. What are the five ethics of employee
 
Hongera ndugu.

Mimi nilishafanya (training na) interview mwaka juzi 2020 (kabla hawajaibadilisha website yao ya kujisajili) ila sikupewa feedback zaidi ya kupigiwa simu tena kuulizwa kama nimeshafanya interview. Nilishajisajili kwenye mfumo wao mpya (TaESA Jobs Gateway) miezi kadhaa iliyopita. Kuna kipengele kimewekwa kuuliza kama umeshafanya interview na wapi au la (nilijibu nimeshafanya, Dar). Binafsi siwaungi mkono katika kipengele cha Occupation Preference ambapo ni lazima uchague kati ya machaguo waliyoweka ya preferences ila haiwezekani kuandika preferences zako (kwenye site yao ya zamani ilikuwa unajaza mwenyewe kabisa hizo job preferences).
Wakati mwingine nadhani kozi chache tu ndiyo zinapewa kipaumbele TaESA.
 
Back
Top Bottom