M Mrs Dee JF-Expert Member Joined Oct 7, 2017 Posts 209 Reaction score 324 Dec 23, 2020 #1 Mwenye uzoefu na tairi za gari kuagiza nje..ni zipi nzuri.kampuni gani na nchi gani? Soko lake kwa Tanzania limekaaje
Mwenye uzoefu na tairi za gari kuagiza nje..ni zipi nzuri.kampuni gani na nchi gani? Soko lake kwa Tanzania limekaaje
Doctizo Mtengwa JF-Expert Member Joined Feb 16, 2019 Posts 828 Reaction score 1,513 Dec 23, 2020 #2 Mwaka ndo huo unaisha mkuu, Kwa tairi Bora waone goodone
M Mrs Dee JF-Expert Member Joined Oct 7, 2017 Posts 209 Reaction score 324 Dec 23, 2020 Thread starter #3 Doctizo Mtengwa said: Mwaka ndo huo unaisha mkuu, Kwa tairi Bora waone goodone Click to expand... Sio kutumia kwenye gari yangu kwa ajili ya kuagiza kutoka nje..au ni mpaka uwe agent wao?
Doctizo Mtengwa said: Mwaka ndo huo unaisha mkuu, Kwa tairi Bora waone goodone Click to expand... Sio kutumia kwenye gari yangu kwa ajili ya kuagiza kutoka nje..au ni mpaka uwe agent wao?
danhoport JF-Expert Member Joined May 20, 2020 Posts 1,984 Reaction score 4,502 Jan 12, 2021 #4 Kwaajili ya kufanya biashara au kufunga kwenye gari yako tu?