Swaraj Mazda nazikumbukaga gari za PepsiKuna jamaa angu tuliliagiza straight from japani, analo mwaka wa 3 sasa, hamna shida yyte, analipenda balaa......ila kubwaaa kwenye miji mikubwa inabidi ukodi parking
Sent using Jamii Forums mobile app
Tribute Lina ukubwa gani? Hazitofautian sana X-trailKuna jamaa angu tuliliagiza straight from japani, analo mwaka wa 3 sasa, hamna shida yyte, analipenda balaa......ila kubwaaa kwenye miji mikubwa inabidi ukodi parking
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera .kumbuka kutoa salam kwa trafficsTribute imeshaingia barabarani na kesho naamsha nayo 2 Moshi
Wazee wa chura utawajua tu,🙄🙄Gari ya ukweli sema imebinuka kwa nyuma
Tribute imeshaingia barabarani na kesho naamsha nayo 2 Moshi
Hahah nilishazishtukia kitambo sana.ID mbilo zinachongia uzi zinazomilikiwa na mtu mmoja
Hahah nilishazishtukia kitambo sana.
Wana ID zaidi ya 8 hivi tofauti tofauti lkn ni za mtu 1 mzee baba.
Hahah wanafanyaga utoto sana basi tu mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23] halafu sasa wanajisahau