Mwenye uzoefu mishahara ya TPSC INARANGE VIPI

abdul2002

Member
Joined
Dec 8, 2022
Posts
5
Reaction score
8
Habari wakuu mwenye uzoefu wa mishahara na benefit nyingine za TPSC zipoje atleast hint kidogo
 
Abdul2002 usiwaze wewe nenda kapige kazi mishahara utapanda mbele kwa mbele
 
Abdul2002 usiwaze wewe nenda kapige kazi mishahara utapanda mbele kwa mbele
mkuu kujua ni jambo muhimu sana ili kuangalia na kufanya analysis ajira sio msaada unaprovide input na mshahara ni output kwang mimi vitu muhimu kwangu ni mshahara plus je hiyo sehemu itaikuza career yangu kama unajua itakuwa vyema ukinisaidia
 
Habari wakuu mwenye uzoefu wa mishahara na benefit nyingine za TPSC zipoje atleast hint kidogo
TPSC ndo ipi hiyo mkuu, au ile Tanzania Public Service College? Na mshahara unaoulizia ni kitengo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…