Ramaa21 Member Joined Sep 28, 2022 Posts 19 Reaction score 12 Oct 22, 2022 #1 Namuitaji mtu mwenye uzoefu na biashara ya dry cleaner nipate mawili matatu kutoka kwake
C Chiumbe JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 566 Reaction score 828 Oct 22, 2022 #2 Unataka kufungua maeno ya wap kwanza, target ya wateja wako ni wa aina ghan..
Ramaa21 Member Joined Sep 28, 2022 Posts 19 Reaction score 12 Oct 22, 2022 Thread starter #3 Una uzoefu nayo bro
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 9,953 Reaction score 23,150 Oct 23, 2022 #4 Ramaa21 said: Una uzoefu nayo bro Click to expand... Hii biashara inataka watu wa kipato fulani. Kianzie kiwango cha Kati. Hata hivyo utulie Sana mkuu... Tafuta frem kijichi nikutafutie wateja tufanye kaz
Ramaa21 said: Una uzoefu nayo bro Click to expand... Hii biashara inataka watu wa kipato fulani. Kianzie kiwango cha Kati. Hata hivyo utulie Sana mkuu... Tafuta frem kijichi nikutafutie wateja tufanye kaz
Ramaa21 Member Joined Sep 28, 2022 Posts 19 Reaction score 12 Oct 23, 2022 Thread starter #5 Sawa mkuu