Mwenye uzoefu na biashara ya kubadilisha mitungi ya gas

marwarwa

Senior Member
Joined
May 3, 2016
Posts
107
Reaction score
50
Msaada mwenye uzoefu na biashara ya kubadili mitungi ya gas(Uwakala)naomba muongozo kwa ccompany yoyote
 
Niko Arusha mjini nikuwa wakala wa kubadilisha mitungi mfano manjis,orxy n.k
 
Kuanza kuchambua hapa nitachoka.kiufupi ORXY GAS ukibadilisha kile kimtungi kidogo cha kg6 faida yake ni elfu 3.ule wa kg15 faida yake ni elfu 6.kasi yako ya kupata wateja wengi ndo kupasua kwako
 
Je ukitaka kua wakala unatakiwa uwe na mtaji wa kiasi gani.
 
Pamoja na mwongozo mzuri wa wadau hapa jamvini, naona ni busara pia kutembelea ofisi za hizo kampuni za gas unazotaka kufanya nazo biashara ili kupata maelezo ya kina.
 
Asante sana kwa ushauri inabidi nitembelee ofisi zinazohusika na hii biashara nipate muongozo zaidi.
 
Pamoja na mwongozo mzuri wa wadau hapa jamvini, naona ni busara pia kutembelea ofisi za hizo kampuni za gas unazotaka kufanya nazo biashara ili kupata maelezo ya kina.
Wala asicomplicate issue atafute mtaji wa kama 1,000,000 mizani ya kupima awapigie walete mzigo auze
 
Ukitaka na yale mafiga na burner kwaajili ya mitungi midogo kwani ukiuza mtungi wengi wanauliza burner na mafiga basi tuwasiliane inbox nikuletee kwa bei nzuri kabisa
 
Bei ya jumla complete kg 15 ni 85,000 na kurefill ni 41,000
Kg6 complete ni 39,000 kurefill 16,000
So unaweza anza na mtaji utakao ona wewe wafaa baadaye ukiona wateja qameongezeka utaongeza mtaji.
 
Pamoja na mwongozo mzuri wa wadau hapa jamvini, naona ni busara pia kutembelea ofisi za hizo kampuni za gas unazotaka kufanya nazo biashara ili kupata maelezo ya kina.
Kwa dar office zao zipo WAP kwa temeke
 
Bei ya jumla complete kg 15 ni 85,000 na kurefill ni 41,000
Kg6 complete ni 39,000 kurefill 16,000
So unaweza anza na mtaji utakao ona wewe wafaa baadaye ukiona wateja qameongezeka utaongeza mtaji.
0715-445468 mkuu tuwasiliane nataka hii biashara
 
Bei ya jumla complete kg 15 ni 85,000 na kurefill ni 41,000
Kg6 complete ni 39,000 kurefill 16,000
So unaweza anza na mtaji utakao ona wewe wafaa baadaye ukiona wateja qameongezeka utaongeza mtaji.
Hebu njoo pm mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…