Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,296
Kichwa cha habari kinajieleza...wadau nmekua na wazo la kuuza bia kwa jumla ila sina uzoefu wowote kama kuna mtu yoyote mwenye ufahamu wa jinsi ni vip naweza kupata cret na chupa tupu za bia,pia faida inapatikana vipi..yani na nunua shilingi ngapi na kuuza kwa bei gani anaweza kunisaidia..