Mwenye uzoefu na biashara ya Mashine ya kusaga mahindi naomba msaada wa mawazo

Magari ya kukodisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
412
Reaction score
695
Sijawahi kuifanya biashara hii naombeni mwenye ufahamu anipe abc za biashara hii. Pia aniambie kwa uzoefu wake kwa siku unaweza kupata kiasi gani.

Changamoto za biashara hii ni ipi.

Nategemea nikaifungulie wilaya ya Babati.
 
Hii biashara in mzuri kama upon kwenye eneo lenye nafaka nyingi ( mfano, mahindi) Kuhusu gharama zipo za umeme na matengenezo madogo madogo.

Kwenye umeme Sh. Elfu 10 unapata unit 28.4 ambazo hadi zinaisha utapata wastani wa shilingi elfu 20 hadi 35 elf. (Bei sh. 50).

Vibarua ni maelewano na kama utakoboa mahindi utapata pia Pumba na kuziuza.
Karibu.
 
Naomba kujua changamoto zake na mashine ipi Bora
 
Naomba kujua changamoto zake na mashine ipi Bora
Usimamizi wa karibu kwa vibarua wako ndil1o jambo la kuliangalia sana, has a kwenye utumzaji wa mashine, ukusanyaji mapato na ubora wa huduma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…