Mwenye uzoefu na biashara ya simu za mkopo

Mwenye uzoefu na biashara ya simu za mkopo

Ubungo Mataa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2018
Posts
411
Reaction score
725
Wakuu heshima kwanu.

Mwenye uzoefu na biashara ya simu za mkopo au agent wa simu za mkopo kutoka Easybuy au Watu simu naomba tuwasiliane.

Nitakulipa gharama za usumbufu.

Please DM
 
Sijakuelewa, unataka kufanya biashara hiyo au unatafuta simu ya mkopo?
 
Back
Top Bottom