Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,595
- 3,670
Nna kashamba kangu nataka nikaandae kwa kilimo ila mule shambani kuna miti ya mikorosho km 20 hivi mikubwa na ya saiz ya kati,,mm nataka kuikata then niichome mkaa ss mtu wa chain saw ananambia ni lita 7, na muundo wa malipo ni elfu 18 kwa kila lita itakayoisha
Wadau ambao mna uzoefu na chain saw au kukata miti kwa hyo mashine je ni sawa hii mana mm nimeona itakuwa ghali sana na jamaa nimemkataa kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau ambao mna uzoefu na chain saw au kukata miti kwa hyo mashine je ni sawa hii mana mm nimeona itakuwa ghali sana na jamaa nimemkataa kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app