Sawa mkuuKama chainsaw ghali bas njoo nkupe shoka. Itagharimu plate ya ugali na dumu la maji tu. Sio zaidi ya elfu tatu kila mkorosho!
Chainsaw unakodi kwa tsh elfu 15 kwa siku. Mafuta unajaza mwenyewe, operator unamlipa kwa kadri mnavokubaliana
Nashukuru kwa haya maelezo mkuu, atleast hii inasound, ok wapi naeza pata mashine kwa maeneo ya mlandizi,ruvu au kibahaChainsaw unakodi kwa tsh elfu 15 kwa siku. Mafuta unajaza mwenyewe, operator unamlipa kwa kadri mnavokubaliana
HahahahahKodi chainsaw kwa siku.... Lakini Kabla hujkodi, kumbuka yafuatayo....
Inatakiwa iwe imesajiliwa hapo kijijini
Uwe na kubali cha kukata hiyo miti, tena mikorosho...... Sijui itakuwaje.
Na mengine ni kwa mujibu wa eneo husika.
Nimelala rumande kwa kungurumisha chainsaw shambani kwangu.
Nashkuru mkuu, kibali nishapata barua ya serikal ya mtaa na ya bwana shamba wa kijiji ntawapelekea wazee wa mali asili pale vigwazaKodi chainsaw kwa siku.... Lakini Kabla hujkodi, kumbuka yafuatayo....
Inatakiwa iwe imesajiliwa hapo kijijini
Uwe na kubali cha kukata hiyo miti, tena mikorosho...... Sijui itakuwaje.
Na mengine ni kwa mujibu wa eneo husika.
Nimelala rumande kwa kungurumisha chainsaw shambani kwangu.
Huyo mwenye chainsaw anatakiwa alipe mapato hapo kijijini.... Utalia naniiii....Nashkuru mkuu, kibali nishapata barua ya serikal ya mtaa na ya bwana shamba wa kijiji ntawapelekea wazee wa mali asili pale vigwaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh!! Mkuu hz sheria zinapatikana wp kwn? Mapato huwa ni kiasi gani? kibali nacho ni miti ya aina zote auHuyo mwenye chainsaw anatakiwa alipe mapato hapo kijijini.... Utalia naniiii....