Mkuu ungesema tu unataka kununua Toyota WiLL, sifa zake ni zipi. Sasa hii historia ya TANU ni ya nini?Wakuu nimeona kabla sijazeeka bila kumiliki hata Bajaji, nimeonelea niongezee kiasi kidogo cha pesa nilichonacho kwa kuuza ving'ombe ili ninunue japo gari ya kutembelea panapo majaliwa. Jamaa mmoja nimemuona na gari ikanivutia sana. Gari hiyo ni aina ya Toyota WiLL. Je sifa zake ni zipi na kasoro zake ni zipi? Natanguliza shukrani
Watu usipowaambia ukweli watafikili nina pesa kumbe pesa zenyewe hadi niuze hadi kuku kufikia lengo mama yangu. Bora tu wafahamu wasije niambia nunua BMWMkuu ungesema tu unataka kununua Toyota WiLL, sifa zake ni zipi. Sasa hii historia ya TANU ni ya nini?
Mkuu hii ni nchi ya kufikirika, hapa kuna wanojifanya masister du kumbe ni wavaa yebo yebo tu kama mimi, sema tu lililokuleta.Watu usipowaambia ukweli watafikili nina pesa kumbe pesa zenyewe hadi niuze hadi kuku kufikia lengo mama yangu. Bora tu wafahamu wasije niambia nunua BMW
Teh teh teh teh teh!!! Poa kaka ila naambiwa ng'ombe wameshuka bei sababu ya kukosa marisho/majani. Angalia usije uza hadi njiwa maana gari si mchezo ila hongera kwa kuwaza upstair.Wakuu nimeona kabla sijazeeka bila kumiliki hata Bajaji, nimeonelea niongezee kiasi kidogo cha pesa nilichonacho kwa kuuza ving'ombe ili ninunue japo gari ya kutembelea panapo majaliwa. Jamaa mmoja nimemuona na gari ikanivutia sana. Gari hiyo ni aina ya Toyota WiLL. Je sifa zake ni zipi na kasoro zake ni zipi? Natanguliza shukrani
Wakuu nimeona kabla sijazeeka bila kumiliki hata Bajaji, nimeonelea niongezee kiasi kidogo cha pesa nilichonacho kwa kuuza ving'ombe ili ninunue japo gari ya kutembelea panapo majaliwa. Jamaa mmoja nimemuona na gari ikanivutia sana. Gari hiyo ni aina ya Toyota WiLL. Je sifa zake ni zipi na kasoro zake ni zipi? Natanguliza shukrani
Sio tu hakuna malisho isipokuwa ng'ombe wamekufa wengi sana kwa kukosa maji na nyasi,bora nitembelee makal..io ndugu yangu kwa kuwa na kiusafiri kuliko kuzunguka na mifugo huku na kule.Teh teh teh teh teh!!! Poa kaka ila naambiwa ng'ombe wameshuka bei sababu ya kukosa marisho/majani. Angalia usije uza hadi njiwa maana gari si mchezo ila hongera kwa kuwaza upstair.
Will VS zipo za 1490cc na 1794cc. Will VS spares zake zinaingiliana na magari mengi tu ya Toyota, sijawahi pata changamoto yoyote ya spares huu mwaka wa 2. Engine yake ni 1ZZ-FE na kuna 2ZZ-FE, ya kwanza ni for fuel economy, ya pili ni for performance. Ya 1ZZ mafuta hasa kwenye foleni ni 8-10km/lita. Ila ukivunja taa huo ndio utakuwa mziki mnene, kuwa makini na mashimo hasa bumper la mbele.Wakuu nimeona kabla sijazeeka bila kumiliki hata Bajaji, nimeonelea niongezee kiasi kidogo cha pesa nilichonacho kwa kuuza ving'ombe ili ninunue japo gari ya kutembelea panapo majaliwa. Jamaa mmoja nimemuona na gari ikanivutia sana. Gari hiyo ni aina ya Toyota WiLL. Je sifa zake ni zipi na kasoro zake ni zipi? Natanguliza shukrani
Asante sana mkuu. Vipi taa zinapatikana na bei yake vipi?Will VS zipo za 1490cc na 1794cc. Will VS spares zake zinaingiliana na magari mengi tu ya Toyota, sijawahi pata changamoto yoyote ya spares huu mwaka wa 2. Engine yake ni 1ZZ-FE na kuna 2ZZ-FE, ya kwanza ni for fuel economy, ya pili ni for performance. Ya 1ZZ mafuta hasa kwenye foleni ni 8-10km/lita. Ila ukivunja taa huo ndio utakuwa mziki mnene, kuwa makini na mashimo hasa bumper la mbele.
Sijawahi kukutana na changamoto hiyo. Huu mwaka wa 2 na nusu naitumia hiyo gari, sijawahi vunja taa. Kwakweli sijui upatikanaji wake.Asante sana mkuu. Vipi taa zinapatikana na bei yake vipi?