Mwenye uzoefu na hii pcmcia kwenye TV atupe muongozo

Mr_Plan

Senior Member
Joined
Oct 2, 2021
Posts
140
Reaction score
194
Hii Slot nimeona kwenye TV Yangu Aina ya LG Lakini Hadi Sasa Sijajua Matumizi Yake Wenye Ufahamu ni Slot ya PCMCIA Atupe Muongozo

images (2).jpeg
images (3).jpeg
images (4).jpeg
 
Sijakuelewa mzeee
Yaani TV yako ina kisimbuzi/king'amuzi cha ndani kwa ndani huitaji kununua kisimbuzi, So AZAM huwa wana Card zake TV za aina hii (Cam Card) ukienda kwenye ofisi zao wanakupa hako ka kadi na DISH/Antenna. Wewe unakuja kukapachika hapo tu huna haja ya kununua king'amuzi chao..

Au bado hujaelewa? Kama hujaelewa beba hiyo TV yako nenda nayo ofisi za AZAM watakuelewesha.
 
Huo ushauri wa mwisho ndio ushauri sahihi, hao jamaa hawakupi hiyo cam card moja kwa moja, huwa wanataka kwanza uende na Tv maana kuna muda zinazingua.
 
Ahsante nilitaka kumjibu ila umeshamjibu ... TV yangu sio multimedia kabisa TV kama hizi mnazipataga wapi?
TV kama hizi zinakuwa ni used kutoka Ulaya Wazungu wanatumia vitu tofauti na sisi Dunia ya tatu we ukitaka kujua nunua Tv used kutoka Ulaya na Ununue Tv kwenye Maduka ya Kariakoo utakuja kugundua TV uliyonunua mtumba ina vitu vingi sana tofauti na tv mpya ya dukani Kariakoo.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Ukienda Zanzibar unazipata lakini used yani Zanzibar kuna Tv nzuri sana Used yani kama ni mpenzi wa Tv za kisasa Zanzibar ndiyo zipo sema used.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Sio mbaya kama ni used from abroad.. zisiwe used hapa na wabongo hahaaa...
 
Yaani TV yako ina kisimbuzi/king'amuzi cha ndani kwa ndani huitaji kununua kisimbuzi, So AZAM huwa wana Card zake TV za aina hii (Cam Card) ukienda kwenye ofisi zao wanakupa hako ka kadi na DISH/Antenna. Wewe unakuja kukapachika hapo tu huna haja ya kununua king'amuzi chao..

Au bado hujaelewa? Kama hujaelewa beba hiyo TV yako nenda nayo ofisi za AZAM watakuelewesha.
[emoji1787]
 
Eti Abebe Television Mpaka Azam Akaeleweshwe
JF Noma Sana, Watu Wana Comment Chachu Sana
 
Back
Top Bottom