Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 342
- 626
Excatly hawa mara nyingi kazi zao huwa ni za kuuza vyombo mfano, chupa za chai , mabeseni, madiaba, nk malipo yake ukiuza chombo labda bei elekezi beseni moja 4000 ww ukiuza 6000 basi kile cha juu ndio malipo yakoKazi zinakuepo lakini mara nyingi ukifika huko unakuta ni kazi ya machinga kuuza vyombo utalipwa KULINGANA na mauzo yako kwa siku. Ipo HIVYO tu.
Unapokubali Ajira maana yake umeridhika na utazingatia makubaliano(Mkataba). Je mdogo wako aliusoma vizuri na kuuelewa huo Mkataba kabla ya kutia saini yake? Au yy aliangalia tu kwamba hapa naajiriwa mengine tutajuaga huko mbele.Mara nyingi hizo zinakuwaga zile za kutembeza vyombo.
Umenikumbusha mbali mana Kuna kipndi mdogo wangu alikuwa anatafuta kazi akaangukia kwa hao jamaa.
Mbaya zaidi wao walipelekwa vijijini ndani ndani huko kwa wamasai aliporudi analalamika miguu inauma mana alitembea sana.
Mbaya zaidi hawajauza chochote.
Haya maisha ukiwa unatafuta kazi unakutana na kila adha.
Sio matapeli ila TANGAZO Lina mvuto lakini nyuma ya pazia bora muokota makopoKazi zinakuepo lakini mara nyingi ukifika huko unakuta ni kazi ya machinga kuuza vyombo utalipwa KULINGANA na mauzo yako kwa siku. Ipo HIVYO tu.
Umeongea point japo hujaweka pichaUnapokubali Ajira maana yake umeridhika na utazingatia makubaliano(Mkataba). Je mdogo wako aliusoma vizuri na kuuelewa huo Mkataba kabla ya kutia saini yake? Au yy aliangalia tu kwamba hapa naajiriwa mengine tutajuaga huko mbele.
Angalizo: Biashara iwe yako au ya kuajiriwa i.e unamfanyia Tajiri mwenye hiyo biashara ni lazima suala la soko liwe ni bayana. Je, ww mwajiriwa ndiye utakayetafuta soko la bidhaa hiyo (e.g. mmachinga anatafuta soko) au soko atakutafutia Tajiri? (e.g.ataweka kibanda(Duka) na ww Mwajiriwa unamsubiri mteja ambaye huna ahadi naye) kwa hiyo ninachotaka kusema hapa ni Mdogo wako kulalamika eti alipelekwa masaini na alitembea sana. Hakujua Nature ya kazi aliyokubali kuajiriwa? Kumbe makampuni hayo yapo-yapo tu halafu Vijana wanaingia huko bila kujua yaliyomo halafu wanalalamika.
Lakini nakushukuru Feitty kwani hata huku Umasaini kwetu tunayaona matangazo ya namna hiyo kwenye nguzo za umeme - kumbe ndo mambo hayo. Nimejifunza kitu.
.Umeongea point japo hujaweka picha
Mwe, mwe ; picha niitoe wapi huku kijijini Mpwayungu?Umeongea point japo hujaweka picha
Hawakuambii chochoteUnapokubali Ajira maana yake umeridhika na utazingatia makubaliano(Mkataba). Je mdogo wako aliusoma vizuri na kuuelewa huo Mkataba kabla ya kutia saini yake? Au yy aliangalia tu kwamba hapa naajiriwa mengine tutajuaga huko mbele.
Angalizo: Biashara iwe yako au ya kuajiriwa i.e unamfanyia Tajiri mwenye hiyo biashara ni lazima suala la soko liwe ni bayana. Je, ww mwajiriwa ndiye utakayetafuta soko la bidhaa hiyo (e.g. mmachinga anatafuta soko) au soko atakutafutia Tajiri? (e.g.ataweka kibanda(Duka) na ww Mwajiriwa unamsubiri mteja ambaye huna ahadi naye) kwa hiyo ninachotaka kusema hapa ni Mdogo wako kulalamika eti alipelekwa masaini na alitembea sana. Hakujua Nature ya kazi aliyokubali kuajiriwa? Kumbe makampuni hayo yapo-yapo tu halafu Vijana wanaingia huko bila kujua yaliyomo halafu wanalalamika.
Lakini nakushukuru Feitty kwani hata huku Umasaini kwetu tunayaona matangazo ya namna hiyo kwenye nguzo za umeme - kumbe ndo mambo hayo. Nimejifunza kitu.
π πHawakuambii chochote
Unaambiwa tu njoo siku fulani utakapoenda ndio utakachokutana nacho.
Matangazo yao yamekaa kiushawishi hasa kwa watu waliosomea mambo ya biashara kumbe biashara yenyewe ndio kutembeza vyombo.
Dah hata mimi nimewahi kumbana na huu msala, pale palm village kwa Warioba Mikocheni, kumbe ishu yao ilikua kutembeza D.light mjini malipo ni commision aiseeh nilidata,ukicheki nilisafiri kutoka mkoani nauli ya kurudi nikawa sina. nikaamua kujichanganya tukuishi kwa washikaji mpaka pale nilipo pata nauli ya kurudi homuHawakuambii chochote
Unaambiwa tu njoo siku fulani utakapoenda ndio utakachokutana nacho.
Matangazo yao yamekaa kiushawishi hasa kwa watu waliosomea mambo ya biashara kumbe biashara yenyewe ndio kutembeza vyombo.