Inahusiana na suala zima la utambuzi wa usalama na ubora wa chakula vilevile kufanya research mbalimbali juu ya upatikanaji wa mbegu mpya kupitia mfumo wa teknolojia ili kukidhi mahitaji ya watu hasa ktk wakati huu ambapo population imekua kubwa.naamini kwa uwezo wake Muumba utaweza kutuondolea balaa la njaa tanzania.kwa undani zaidi visit google