Mwenye uzoefu na Interview za Tanroads naomba muongozo

Spms

Member
Joined
May 11, 2017
Posts
13
Reaction score
18
Wana Jf kwa yoyote mwenye uzoefu na interview za Tanroads naomba mbinu zaidi na most of questions ambazo huwa wanatoa katika usaili.

Nimeitwa usaili wa weighbridge operator Tanroads geita usaili unafanyika tarehe 22 mwezi huu wa 6.
 
Swali ambalo ni uhakika na la kwanza kuulizwa ni "Tell us about yourself"
 
Wana Jf kwa yoyote mwenye uzoefu na interview za Tanroads naomba mbinu zaidi na most of questions ambazo huwa wanatoa katika usaili.

Nimeitwa usaili wa weighbridge operator Tanroads geita usaili unafanyika tarehe 22 mwezi huu wa 6.

Muda huwa ni dakika 40! Maswali mchanganyiko Hesabu na maelezo! Kwenye Hesabu zingine utakutana nazo ambazo haujawahi kuziona, kwenye maelezo jua mission na vision ya TANROAD! Soma Team work ! Na mambo mengine!!
 
Scientific calculator vip inahitajika au hairuhusiwi ni kichwa tu?
 
Back
Top Bottom