Mwenye uzoefu na kuagiza simu ndogo kupitia alibaba

Joined
Dec 13, 2023
Posts
67
Reaction score
238
Wakuu nilikuwa napitia bei za vitochi vya Nokia alibaba naona ni ndogo sana
nawaza nijaribu japo kwa piece 4 , ila sina uzoefu wowote naombeni muongozo wakuu
 
Wakuu nilikuwa napitia bei za vitochi vya Nokia alibaba naona ni ndogo sana View attachment 2948579
nawaza nijaribu japo kwa piece 4 , ila sina uzoefu wowote naombeni muongozo wakuu
Mfano unataka kununua hizo za elfu16 alafu wewe uje kuuza shi ngapi? Maana usije ona zinauzwa bei ndogo kumbe ukinunua utaishia kupata hasara.
 
Kuna uzi upo humu jamaa kaelezea vizuri tuu yani , mzigo Wa biashara agiza usafiri uwe by sea pia agiza kwa manufacturers ila mzigo mkubwa ila uwe na uhaika wa soko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…