Mwenye uzoefu na mashine za kufulia nahitaji kununua

Mwenye uzoefu na mashine za kufulia nahitaji kununua

kikoozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
2,094
Reaction score
3,108
Habari zenu, mwenye uzoefu na hizi machine za kufulia nguo, nahitaji kununua machine ya kufulia mwenye kujua, kampuni ipi ni nzuri, zenye uzito gani ni nzuri, na kadhalika sio ya kufanyia biashara ila ni kwaajili ya matumizi ya nyumbani tu.

Karibuni sana wakuu wenye kujua
 
Nunua kilo 8 kuendelea, tafuta inayokamua ( Semi dry) pia iwe manual sio auto. Tafuta makampuni makubwa Eg. LG, Samsung, Von hotpoint, Hisense, Sharp, West point, Philips

Acha na uchafu wa Boss, Beko sijui Aborder. hivyo achia masikini
 
Asante sana mkuu, sorry kwanini umesema niachane na auto nichukue manual?
 
Auto akili yake huwa inaruka, pia sijui kama una utaalamu wa kujua material ya nguo. maana aubina selection kutokana na nguo
Ok mkuu nimekuelewa sana sana, shukrani sana, kaa una utaalamu na majiko ya kupikia yenye system ya gasi na umeme kwa pamoja nishauri pia kampuni gani ni nzuri mkuu
 
Mimi nauza vitu used from korea mashine nimebakiza moja ya kilo9 km utahitaji fanya kuingia dm tuyajenge.
 
Habari zenu, mwenye uzoefu na hizi machine za kufulia nguo, nahitaji kununua machine ya kufulia mwenye kujua, kampuni ipi ni nzuri, zenye uzito gani ni nzuri, na kadhalika sio ya kufanyia biashara ila ni kwaajili ya matumizi ya nyumbani tu.

Karibuni sana wakuu wenye kujua
Mkuu binafsi ninatumia Hisense lkn brand ya China ya kilo 16 inapiga kazi nguo za kutosha,na ni hizi manual yaani mitungi miwili ya kufua na kukamua na haili umeme naweza fua nguo mpaka za majirani bila kumaliza unit moja.
 
Mashine za kufulia nguo tunazo
Nunua machine mpya na kutoka kampuni linalotoa machine ngumu na imara strongtech kutoka china tupigie 0762612213 store yetu inapatikana ilala na kariakoo msimbazi Tuna ofisi
IMG_20200714_094809_669.jpeg
IMG-20200709-WA0022.jpeg
 
Mashine za kufulia nguo tunazo
Nunua machine mpya na kutoka kampuni linalotoa machine ngumu na imara strongtech kutoka china tupigie 0762612213 store yetu inapatikana ilala na kariakoo msimbazi Tuna ofisi View attachment 1533553View attachment 1533555
Utaje na bei basi..imrahisishie mtu ajue kwa bei hyo anaweza kupiga au kuacha.
Kuepuka usumbufu usio wa lazima.
 
Natumia samsung huu mwaka wa saba haijawahi niangusha na nilinunua laki tano,natamani niliuze ili nibadili tu.

wazee niliwanunulia hiyo von hotpoint na kwa vile nilikuwa mkoani nilimpa mdogo wangi fedha anunue na aipeleke home mama aache kufua jinsi za baba kwa mikono.

najuta haijadumubkihivyo kwani unafua huku inavujisha maji chini wakati tenyewe haijamaliza hata miaka 2.sishauri hao wandi von hotpoint najua jinsi ilivyojengwa kiubahili bahili.
Nunua kilo 8 kuendelea, tafuta inayokamua ( Semi dry) pia iwe manual sio auto. Tafuta makampuni makubwa Eg. LG, Samsung, Von hotpoint, Hisense, Sharp, West point, Philips

Acha na uchafu wa Boss, Beko sijui Aborder. hivyo achia masikini
 
Nunua kilo 8 kuendelea, tafuta inayokamua ( Semi dry) pia iwe manual sio auto. Tafuta makampuni makubwa Eg. LG, Samsung, Von hotpoint, Hisense, Sharp, West point, Philips

Acha na uchafu wa Boss, Beko sijui Aborder. hivyo achia masikini

toa von hotpoint rudisha beko juu!! beko kweli ikae na kina aborder?
 
Mm natumia Hitachi yenye sehem 2 mwaka wa 6 inadunda na ni energy efficient
 
Back
Top Bottom