Asante sana mkuu, sorry kwanini umesema niachane na auto nichukue manual?Nunua kilo 8 kuendelea, tafuta inayokamua ( Semi dry) pia iwe manual sio auto. Tafuta makampuni makubwa Eg. LG, Samsung, Von hotpoint, Hisense, Sharp, West point, Philips
Acha na uchafu wa Boss, Beko sijui Aborder. hivyo achia masikini
Asante sana mkuu, sorry kwanini umesema niachane na auto nichukue manual?
Ok mkuu nimekuelewa sana sana, shukrani sana, kaa una utaalamu na majiko ya kupikia yenye system ya gasi na umeme kwa pamoja nishauri pia kampuni gani ni nzuri mkuuAuto akili yake huwa inaruka, pia sijui kama una utaalamu wa kujua material ya nguo. maana aubina selection kutokana na nguo
Mkuu binafsi ninatumia Hisense lkn brand ya China ya kilo 16 inapiga kazi nguo za kutosha,na ni hizi manual yaani mitungi miwili ya kufua na kukamua na haili umeme naweza fua nguo mpaka za majirani bila kumaliza unit moja.Habari zenu, mwenye uzoefu na hizi machine za kufulia nguo, nahitaji kununua machine ya kufulia mwenye kujua, kampuni ipi ni nzuri, zenye uzito gani ni nzuri, na kadhalika sio ya kufanyia biashara ila ni kwaajili ya matumizi ya nyumbani tu.
Karibuni sana wakuu wenye kujua
Utaje na bei basi..imrahisishie mtu ajue kwa bei hyo anaweza kupiga au kuacha.Mashine za kufulia nguo tunazo
Nunua machine mpya na kutoka kampuni linalotoa machine ngumu na imara strongtech kutoka china tupigie 0762612213 store yetu inapatikana ilala na kariakoo msimbazi Tuna ofisi View attachment 1533553View attachment 1533555
Nunua kilo 8 kuendelea, tafuta inayokamua ( Semi dry) pia iwe manual sio auto. Tafuta makampuni makubwa Eg. LG, Samsung, Von hotpoint, Hisense, Sharp, West point, Philips
Acha na uchafu wa Boss, Beko sijui Aborder. hivyo achia masikini
Shida madalali mitandaoni wamekuwa wengi mnoWeka bei
Nunua kilo 8 kuendelea, tafuta inayokamua ( Semi dry) pia iwe manual sio auto. Tafuta makampuni makubwa Eg. LG, Samsung, Von hotpoint, Hisense, Sharp, West point, Philips
Acha na uchafu wa Boss, Beko sijui Aborder. hivyo achia masikini