Sodium JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 754 Reaction score 404 Dec 21, 2014 #1 Pole na miangaiko ya kidunia. Nataka mwenye uzoefu na kuuza mtumba ili aweze kuelezea wapi zinapatikana kiurasi zile za jumla(Baro) kwa sababu nataka nianzishe biashara ya nguo za Mtumba.
Pole na miangaiko ya kidunia. Nataka mwenye uzoefu na kuuza mtumba ili aweze kuelezea wapi zinapatikana kiurasi zile za jumla(Baro) kwa sababu nataka nianzishe biashara ya nguo za Mtumba.