Mwenye uzoefu na Online Stock trading system

Mwenye uzoefu na Online Stock trading system

Rich Dad

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
748
Reaction score
135
Tafadhali aliyewahi kufanya business hii aliwa Tanzania alifahamishe jukwaa mambo yafuatayo: aliwezaje, security, ni website ipi aliyoyumia, what are the challenges, na profit margin yake ikoje?
Na toa ushauri kama huu ndio wakati muafaka wa kununua stocks kutokana na kuanguka kwa masoko ya mitaji ulaya.
Asanteni
 
niliwahi kuhudhuria hayo mafunzo kwa siku mbili hapa dar uliza DSE, sijawahi ku-trade online nachokumbuka lazima ufungue account kwa broker wa soko husika ndio utaweza.
vile vile pana site unaweza kujifunza namna ya ku-trade online natafuta address ntaziweka hapa.
 
niliwahi kuhudhuria hayo mafunzo kwa siku mbili hapa dar uliza DSE, sijawahi ku-trade online nachokumbuka lazima ufungue account kwa broker wa soko husika ndio utaweza.<br />
vile vile pana site unaweza kujifunza namna ya ku-trade online natafuta address ntaziweka hapa.
<br />
<br />
Thanks mkuu.
 
Back
Top Bottom