Naona unaotaka ushauri wao ndo umewataja Ila ok, anyways Kwanza kabsa nmeshtuka kdogo kuskia 2Az Engine kuwa na cc1600 duh ebu chunguza kdogo maana Mimi kwa uelewa wangu Mdogo 2Az engine nyingi zpo kwenye harrier,kluger, vanguard,Alphard, na cc zake ni kuanzia cc 2400+ sasa jitafakar vzur na chunguza Kwanza vzuri alafu ndo ununue
Hyo itakuwa ni 2Nz sio 2Az mkuu jarbu kuchunguza vzur then ntakupa mrejesho tenaMkuu Niliwataja hao maana ndo nilikuwa nawafahamu, Ila ni open question mkuu kwa yeyote.
Nashukuru kwa mrejesho wako mkuu, labda nimenote vibaya kutoka kwenye kadi ila imeandikwa
Model number JTD
Engine No 2AZ12872....
Engine Capacity 1600
Mkuu we chukua tu ni gari nzuri na engine nzuri pia.Wakuu nisiwachoshe kwa maneno mengi
Nimekutana na gari inauzwa nikaielewa kwa muonekano wake wa nje kwakweli.
Ni Toyota Camry, Engine 2AZ, 1600cc, Petrol.
Naomba ushauri wa mwenye uzoefu na hizi gari, nini hasa changamoto zake kama zipo ?
Natanguliza shukrani
Hazina umaarufu sana Tz lakini ni gari nzuri sana kwa maisha yetu haya ya kibongo....Wakuu nisiwachoshe kwa maneno mengi
Nimekutana na gari inauzwa nikaielewa kwa muonekano wake wa nje kwakweli.
Ni Toyota Camry, Engine 2AZ, 1600cc, Petrol.
Naomba ushauri wa mwenye uzoefu na hizi gari, nini hasa changamoto zake kama zipo ?
Natanguliza shukrani
Mkuu we chukua tu ni gari nzuri na engine nzuri pia.
Hiyo ni 1AZ na sio 2AZ.
Cc yake ni 1790
Hiyo engine ipo gar nyingi tu za Toyota. Safari pia imo hapo safi kabisa ..
2AZ-FE zote cc ni 2362, 1AZ-FE ambazo ni D-4 Engine zote ni cc 1990 na 1ZZ-FE engine zote cc 1780, na kwa Camry kweli inaweza kua na mojawapo ya hizo mbili za mwanzo. Ila kwa cc1600 ni ndogo kwa Camry. Hizo hua ni za Raum, Runx, Alex kama zile 1NZ!Mkuu Niliwataja hao maana ndo nilikuwa nawafahamu, Ila ni open question mkuu kwa yeyote.
Nashukuru kwa mrejesho wako mkuu, labda nimenote vibaya kutoka kwenye kadi ila imeandikwa
Model number JTD
Engine No 2AZ12872....
Engine Capacity 1600