Mwenye uzoefu wa Biashara ya cake accessories

Mwenye uzoefu wa Biashara ya cake accessories

ka_pay

New Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Habari wadau!,
Naomba mtu mwenye uzoefu katika biashara ya cake accessories (vifaa vya kutengenezea keki (isipokua oven), mapambo ya keki, mabox, ingridients za keki, n.k) anisaidie kunipa overview ya biashara hii pamoja na makadilio ya mtaji.
 
Back
Top Bottom