K ka_pay New Member Joined Oct 28, 2024 Posts 1 Reaction score 1 Oct 29, 2024 #1 Habari wadau!, Naomba mtu mwenye uzoefu katika biashara ya cake accessories (vifaa vya kutengenezea keki (isipokua oven), mapambo ya keki, mabox, ingridients za keki, n.k) anisaidie kunipa overview ya biashara hii pamoja na makadilio ya mtaji.
Habari wadau!, Naomba mtu mwenye uzoefu katika biashara ya cake accessories (vifaa vya kutengenezea keki (isipokua oven), mapambo ya keki, mabox, ingridients za keki, n.k) anisaidie kunipa overview ya biashara hii pamoja na makadilio ya mtaji.
Rion Jr JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 623 Reaction score 691 Oct 29, 2024 #2 Nasubir muongozo na mm