Habari ya majukumu wakuu? kwa wenye uzoefu wa hii biashara pls, naomba kujuzwa faida zake na hasara zake, kwa ujumla maana nna kamtaji nataka kujiingiza kwenye hii biashara ya vinywaji vikali na vinywaji baridi nipo dar, karibuni wakuu!

Nadhani ungeeleza kwa mapana zaidi ili nikusaidie, kwani biashara yoyote ile ina hasara zake za hapa na pale tunachofanya ni kuzipunguza tu ili mradi zi sizidi faida.Kama una swali jingine karibu kwani nina ufahamu mzuri wa biashara hii.